Friday, May 24, 2013

Tukutane pamoja





Ni mara chache sana watu wanakaa na kuzungumza kuhusu mambo mengi tofauti ukipata hiyo nafasi basi kuwa pamoja na wenzzako kwa furaha na amani...
Upendo ndio nguzo thabiti hiyo ndani ya KINGSTONE....

Sunday, May 19, 2013

Shangwee hizo


Huyu ni moja kati ya mashabiki wa timu ya Dar YOUNG African akiwa ameweka style hiyo kuiwakilisha timu ya Yanga ambayo jana iliondoa uteja kwa timu ya simba baada ya kuitandika goli 2 bila...YANGA BINGWA

Happy B day Rooney

  18/5....NI SIKU YA KUZALIWA MWENETU ROONEY....Hapo bibi mdogo
       Hapo napo Bibi mkubwaaaa chukua hiyoooo
 Mshua nawe pokea pande hilo la keki...tanx Dad

Wednesday, May 15, 2013

Maandalizi

                                       Kikosi cha Mwaka wa 1 MUM
                                       Mwanahabari wa MUM akiwa uwanja wa taifa kuhudhuria moja ya mechi za ligi kuu vodacom zinazoendelea kwenye viwanja mbalimbali ambapo tarehe 18 May siku ya Jumamosi tutakuwa pale uwanja wa taifa kukujulisha yale yatakayojiri kwenye mechi kati ya Dar Young Africans dhidi ya Simba Sport club zote kutoka jijini Dar es salaam
                                  KiKosi cha Mwaka wa tatu MUM
                            Tanzania National Stadium
                                 Jamii ya wanamichezo wakiwa kwenye jukwaa la MUM stadium

Tuesday, May 7, 2013

Ina' Studio

 Kijana Abutricker akiwa mitamboni namna hiyo huku pembeni ni Mr Irigo
                                          Dox Danta kama kawaida ndani ya Mjengo mia mia
                                          Huyu ni Mariam Nina very charming lady aminia sana dada
                                          This is Hamad Simao kijana wa PR
  Mr Salim the Camera Man of Abood media akiwa mzigoni namna hiyo!
                                          PM Irene
                                          CR Jaala