Monday, January 13, 2014

LADY SHAN MSICHANA MWENYE MTAZAMO TOFAUTI, MAADILI NA MSIMAMO

MAMA MZAZI AKIFURAHI NA MJUKUU
AKIWA NA BABA MZAZI KWENYE TABASAM
LADY SHAN NDANI YA STARA
AKIWA NA MWANAE SHAMIR
SEE FOR YA SELF

Friday, January 3, 2014

FATAKI ZA BURJ KHALIFA NEW YEAR..

Jengo refu zaidi duniani Burj Khalifa lililopo Jiji la Dubai likiwa limewashwa fataki zilizpfyatuliwa usiku wa mwaka mpya na kuvunja rekodi ya dunia.....

Burj Khalifa ni JENGO linaloshikilia rekodi ya Urefu duniani ambalo limejenga na Kampuni ya Samsung mwaka 2010