Friday, January 3, 2014

FATAKI ZA BURJ KHALIFA NEW YEAR..

Jengo refu zaidi duniani Burj Khalifa lililopo Jiji la Dubai likiwa limewashwa fataki zilizpfyatuliwa usiku wa mwaka mpya na kuvunja rekodi ya dunia.....

Burj Khalifa ni JENGO linaloshikilia rekodi ya Urefu duniani ambalo limejenga na Kampuni ya Samsung mwaka 2010

No comments:

Post a Comment