Hapo ni shangwe nyingi za wana na marastaaz amani tupu!! upande wa kushoto ni Man Chila ,Man Steve pale kati kama kawaida ,Dox danta akiwa amebarikiwa rastazz , wa mwisho ni Njamaa!!
Shangwe zilikuwa zakutosha warembo namna iyo!! amani sana ndani ya Ibiza cassino
Aminia sana watu wangu...naona hapo mpo full mzuka!!
Playing gittaa
kama ishara ya upendo daima!!
Tuesday, February 26, 2013
Thursday, February 21, 2013
Time ya Breeze
Kashda za Pwani na Leyla Totty 100.6 More than Radio | n |
Mamaa Leyla Totty akiwa mitambon,mpango mzima hapo ni mipasho kwa kwenda mbeleee!!tupe mama wa mipasho -kashda za Pwani
The sports Lady Janeth Sendenga |
Tuesday, February 12, 2013
Reggae Roots-Breeze FM
Bob Naa .................!!
Chylla man , Dox Danta na Mkali Fuko kwenye maandalizi ya kipindi cha Reggae time Reggae Roots Breeze fm more than Radio kwenye jiji la Tanga!!
Malogo Band ndani ya Mjengo wa Breeeze Fm Radio Tanga City!!
Chylla man mtamboni!!
Man Sule tuko pamoja nae kitambo sana!!
Man Chylla akiweka sawa mambo kuturusha on air!!!!!!!!!!!!
Hapa marastaa wakipata kumbukumbu moja la ukweli na Dox Dantaa!!kama unapenda reggae naimani tutakuwa pamoja kuwapa sappott yakutosha wakali hawa!!
Kutoka upande wa Kushoto ni Ras NGOMA ,Botoman KASETA ,Dox DANTA ,Chylla MAN , wa mwisho kabisa ni Man STIVE!!ONE LOVE!!
Mwendo ni kama ule wa The Wailers!!!!!!!!!!!!!!!!!Reggae for ever!!!!!!!!!!
Chylla man , Dox Danta na Mkali Fuko kwenye maandalizi ya kipindi cha Reggae time Reggae Roots Breeze fm more than Radio kwenye jiji la Tanga!!
Malogo Band ndani ya Mjengo wa Breeeze Fm Radio Tanga City!!
Chylla man mtamboni!!
Man Sule tuko pamoja nae kitambo sana!!
Dox Danta mjengoni na wakali wa Reggae Tanga nzima Malogo Band!!mizuka hii inapatikana kupitia 100.6 Breeze fm radio more than Radio!!! |
Hapa marastaa wakipata kumbukumbu moja la ukweli na Dox Dantaa!!kama unapenda reggae naimani tutakuwa pamoja kuwapa sappott yakutosha wakali hawa!!
Kutoka upande wa Kushoto ni Ras NGOMA ,Botoman KASETA ,Dox DANTA ,Chylla MAN , wa mwisho kabisa ni Man STIVE!!ONE LOVE!!
Mwendo ni kama ule wa The Wailers!!!!!!!!!!!!!!!!!Reggae for ever!!!!!!!!!!
Saturday, February 2, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)