Chylla man , Dox Danta na Mkali Fuko kwenye maandalizi ya kipindi cha Reggae time Reggae Roots Breeze fm more than Radio kwenye jiji la Tanga!!
Malogo Band ndani ya Mjengo wa Breeeze Fm Radio Tanga City!!
Chylla man mtamboni!!
Man Sule tuko pamoja nae kitambo sana!!
Dox Danta mjengoni na wakali wa Reggae Tanga nzima Malogo Band!!mizuka hii inapatikana kupitia 100.6 Breeze fm radio more than Radio!!! |
Hapa marastaa wakipata kumbukumbu moja la ukweli na Dox Dantaa!!kama unapenda reggae naimani tutakuwa pamoja kuwapa sappott yakutosha wakali hawa!!
Kutoka upande wa Kushoto ni Ras NGOMA ,Botoman KASETA ,Dox DANTA ,Chylla MAN , wa mwisho kabisa ni Man STIVE!!ONE LOVE!!
Mwendo ni kama ule wa The Wailers!!!!!!!!!!!!!!!!!Reggae for ever!!!!!!!!!!
No comments:
Post a Comment