Hapo ni shangwe nyingi za wana na marastaaz amani tupu!! upande wa kushoto ni Man Chila ,Man Steve pale kati kama kawaida ,Dox danta akiwa amebarikiwa rastazz , wa mwisho ni Njamaa!!
Shangwe zilikuwa zakutosha warembo namna iyo!! amani sana ndani ya Ibiza cassino
Aminia sana watu wangu...naona hapo mpo full mzuka!!
Playing gittaa
kama ishara ya upendo daima!!
No comments:
Post a Comment