kutoka kushoto ni Luqman, Nabil, Mama ,Raudhat na Akram..family iko na furaha inside..be happy ever
Hapo kuna Mish na mwanae Nairat aliyembeba,Najma, Akram, Luqman aliyebebwa, Nabil na Anwary
Dox Danta the father, Alimbesu,Bibi mbesu na solo cowboy..
Dox Danta na Mkali Bestinho
Tuesday, April 30, 2013
Tuesday, April 23, 2013
Tumaini, Mkwawa at Iringa
Hapo mzigo unaelekea Zambia 6 cars juu ya ndinga moja
Moja ya ajali tulizokutana nazo njia ya Iringa karib kabisa na kitonga
Maalim Hamis akiwa kwenye uskani tunapanda kitonga moja..
Hao jamaa ni kweree sanaa yani hapo ni mlima kitonga lakini overtake kama kawaida man wangu si umeona mziki huo..!!??aibu mwanangu
Timu yA MUM ndani ya cafeteria ya Mkwawa...
Papa with I2RI MAN...NA Picha ya Mkwawa
Papa with Danta..NA Picha ya Mkwawa
Mr Kamugisha akifanya interview na EBONY FM Radio Iringa town
Anu akiwa mjengoni Ebony Fm Radio Iringa
Mussa Ebony presenter
Host wa kipindi cha michezo EBONY FM RADIO
Kutoka kushoto ni Mr Kamugisha, Juddy, Danta na Soggy Doggy Hunter EBONY FM RADIO
Timu ya MUM ikipiga zoezi la nguvu viwanja vya Tumaini
Hichi ndicho kikosi cha MUM kilichoibamiza Tumaini mabao 4-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani Iringa semtema..
Hizo ni shangwe za ushindi wa timu ya MUM kutoka Morogoro to Iringa kwenda kuwatandika Tumaini goli 4-1
Ilikuwa ni furaha sana kurudi moro na ushindi wa nguvu amani kwenu wachezaji wote wa MUM TEAM

Tuesday, April 16, 2013
Tumaini Iringa
Ommy legendary wa ukweli toka pande zile za Tumaini University akiwa na jembe lake Docx danta , ilikuwa ni moment tam sana pande hizo amani kwenu wana wote..
Halooo!!akiwa ametulia namna hiyo full mazagazaga
Kamanda mzigoni na kijana sele
Check nao hawa warembo....
MULTIPURPOSE HALL
BLOMQUIST HALL
Majembe ya kazi ndani Iringa Town hapa ni moja ya chemba za wana wa kitaa
Askari wa miguu pande za Tumaini akiwa kama Mbunge wa ukweli..pamoja jibaba
Kama wako indoor vile...hicho ni kiwanja cha basketball Tumaini University
Huyu ni binti wa kiislam ambae stara kwake ni jambo la msingi sana big up kwako Faudhia kwakuwa umetokelezea ile mbayaaa!!
This is How WE Do...pamoja sana docx the danta

Monday, April 8, 2013
Toa Mchongo
Fullu mazagaziko vijanaaa pale Hamsini hapa Chagaaa
mulemulemulemuleee!!!
Duuh kama la Mambbbbbaaaaaaaaaaaa..umeona ehhh!!!??
Pamoja sana..
Mass com Gentlemen....
Vijana kazini mara baada ya shughuli ya UNCLE DEE
Side mzee wa kazii
Hapo ni full tizi ukiwa afya mbovu utakunyaa
Twende kazi man dox dantaaaaa
Mkali fuko la njaaa aminia sana mzazi
U ALL WELCOME HERE..KARIBUNI SANA

Wednesday, April 3, 2013
bobdanta
Mkali wa Mashine Yahya akifanya vitu vyake..hebu cheki
Hapo ni kabla mwembe haujaangushwaa..
Hapo sasa kichwa chepesi...karibu sana upendeze

Tuesday, April 2, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)