Ommy legendary wa ukweli toka pande zile za Tumaini University akiwa na jembe lake Docx danta , ilikuwa ni moment tam sana pande hizo amani kwenu wana wote..
Halooo!!akiwa ametulia namna hiyo full mazagazaga
Kamanda mzigoni na kijana sele
Check nao hawa warembo....
MULTIPURPOSE HALL
BLOMQUIST HALL
Majembe ya kazi ndani Iringa Town hapa ni moja ya chemba za wana wa kitaa
Askari wa miguu pande za Tumaini akiwa kama Mbunge wa ukweli..pamoja jibaba
Kama wako indoor vile...hicho ni kiwanja cha basketball Tumaini University
Huyu ni binti wa kiislam ambae stara kwake ni jambo la msingi sana big up kwako Faudhia kwakuwa umetokelezea ile mbayaaa!!
This is How WE Do...pamoja sana docx the danta
No comments:
Post a Comment