Hapo mzigo unaelekea Zambia 6 cars juu ya ndinga moja
Moja ya ajali tulizokutana nazo njia ya Iringa karib kabisa na kitonga
Maalim Hamis akiwa kwenye uskani tunapanda kitonga moja..
Hao jamaa ni kweree sanaa yani hapo ni mlima kitonga lakini overtake kama kawaida man wangu si umeona mziki huo..!!??aibu mwanangu
Timu yA MUM ndani ya cafeteria ya Mkwawa...
Papa with I2RI MAN...NA Picha ya Mkwawa
Papa with Danta..NA Picha ya Mkwawa
Mr Kamugisha akifanya interview na EBONY FM Radio Iringa town
Anu akiwa mjengoni Ebony Fm Radio Iringa
Mussa Ebony presenter
Host wa kipindi cha michezo EBONY FM RADIO
Kutoka kushoto ni Mr Kamugisha, Juddy, Danta na Soggy Doggy Hunter EBONY FM RADIO
Timu ya MUM ikipiga zoezi la nguvu viwanja vya Tumaini
Hichi ndicho kikosi cha MUM kilichoibamiza Tumaini mabao 4-1 kwenye uwanja wao wa nyumbani Iringa semtema..
Hizo ni shangwe za ushindi wa timu ya MUM kutoka Morogoro to Iringa kwenda kuwatandika Tumaini goli 4-1
Ilikuwa ni furaha sana kurudi moro na ushindi wa nguvu amani kwenu wachezaji wote wa MUM TEAM
No comments:
Post a Comment